Kukua Zaidi ya Ramadhani!
Jifunze zaidi
Ingia
Mipangilio
Tarjuma
Soma
051
surah
Tarjuma ya
Ali Muhsin Al-Barwani
(Badilisha)
Taarifa ya Sura
Cheza Sauti
51:1
وَٱلذَّٰرِيَٰتِ
ذَرۡوٗا
١
Naapa kwa pepo zinazo tawanya,
51:2
فَٱلۡحَٰمِلَٰتِ
وِقۡرٗا
٢
Na zinazo beba mizigo,
51:3
فَٱلۡجَٰرِيَٰتِ
يُسۡرٗا
٣
Na zinazo kwenda kwa wepesi.
Notes placeholders
close