Yasyn 36:78 وضرب لنا مثلا ونسي خلقه قال من يحيي العظام وهي رميم ٧٨
Ukurasa 445 · Juzuu 23
وَضَرَبَ
لَنَا
مَثَلٗا
وَنَسِيَ
خَلۡقَهُۥۖ
قَالَ
مَن
يُحۡيِ
ٱلۡعِظَٰمَ
وَهِيَ
رَمِيمٞ
٧٨
Na akatupigia mfano, na akasahau kuumbwa kwake, akasema: Ni nani huyo atakaye ihuisha mifupa nayo imekwisha mung'unyika? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mkanushaji Kufufuliwa alitupigia mfano usiofaa kupigwa, nao ni kulinganisha uweza wa Muumba na ule wa muumbwa, na akasahau kulianzaje kule kuumbwa kwake. Alisema, «Ni nani mwenye kuhuisha mifupa iliyochakaa na kumumunyuka?
Na mkanushaji Kufufuliwa alitupigia mfano usiofaa kupigwa, nao ni kulinganisha uweza wa Muumba na ule wa muumbwa, na akasahau kulianzaje kule kuumbwa …