Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Qur'ani kwa Mwaka

Ratiba iliyoundwa kwa uangalifu ambayo hukurahisishia kusoma na kuelewa Qur'ani nzima kutoka Ramadhani moja hadi nyingine, kwa kasi thabiti na inayoweza kudhibitiwa.

Jiunge na Whatsapp yetuWhatsapp
Jiunge na Telegram yetuTelegram
Rabi' al-Awwal 20 1448
Wiki
24

Soma Aya za Wiki hii

Nyenzo za Ziada

Nyenzo hizi za ziada zitakusaidia kupata uhusiano wa kina na Aya ambazo umesoma.

Haya ni majadiliano mepesi ya kikundi ambayo hukusaidia kufuata muktadha wa usomaji wa kila wiki.

Tazama Kipindi cha 24

Shirikiana na wengine kuhusiana na Aya ulizosoma wiki hii.

Shiriki Tafakari zako

Quran Space

Unda au jiunge na kikundi cha kujifunza cha moja kwa moja na marafiki na familia kwa ajili ya Qur'ani ndani ya Mwaka.

Unda Kikundi

Maendeleo Yangu

Jisikie huru kurudi na kukamilisha wiki ambazo umekosa!

(Rabi' al-Awwal)

Wiki 24: An-Nahl Aya 90 (16:90) Hadi Bani Israil Aya 111 (17:111)16:90 - 17:111
Mkondo wa sasa
Wiki 25: Al-Kahf Aya 1 (18:1) Hadi Al-Kahf Aya 110 (18:110)18:1 - 18:110
Wiki 26: Maryam Aya 1 (19:1) Hadi Ta Ha Aya 135 (20:135)19:1 - 20:135

(Rabi' al-Thani)

Wiki 27: Al-Anbiyaa Aya 1 (21:1) Hadi Al-Anbiyaa Aya 112 (21:112)21:1 - 21:112
Wiki 28: Al-Hajj Aya 1 (22:1) Hadi Al-Muuminun Aya 118 (23:118)22:1 - 23:118
Wiki 29: An-Nur Aya 1 (24:1) Hadi An-Nur Aya 64 (24:64)24:1 - 24:64

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

"Qur'ani kwa Mwaka" ni nini?
Programu hii itafanyika vipi?
Je, ninahitaji kujua jinsi ya kusoma Kiarabu ili kushiriki?
Je, nitapata wapi migawo ya kusoma kila wiki?
Ninawezaje kupokea vikumbusho vya kusoma kila wiki?
Ninawezaje kubinafsisha uzoefu wangu wa kusoma?
Kuna nyenzo zipi za ziada mnazopeana?
Itakuaje ikiwa nitarudi nyuma au kujiunga kuchelewa?
Ninawezaje kufaidika zaidi na safari hii?
Je, kutakuwa na chaguzi za kina zaidi za kusoma baadaye?
Je, hii ni bure? na ninaweza kuishiriki?
Je, hii ni bure? Je, ninaweza kuishiriki?

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia