At-Tariq 86:15 انهم يكيدون كيدا ١٥
Ukurasa 591 · Juzuu 30
إِنَّهُمۡ
يَكِيدُونَ
كَيۡدٗا
١٥
Hakika wao wanapanga mpango. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wenye kumkanusha Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na Qur’ani wanafanya vitimbi na mipango ili kuipinga haki na kuitilia nguvu batili.
Hakika wenye kumkanusha Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na Qur’ani wanafanya vitimbi na mipango ili kuipinga haki na kuitilia nguv…