As-Sajdah 32:29 قل يوم الفتح لا ينفع الذين كفروا ايمانهم ولا هم ينظرون ٢٩
Ukurasa 417 · Juzuu 21
قُلۡ
يَوۡمَ
ٱلۡفَتۡحِ
لَا
يَنفَعُ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُوٓاْ
إِيمَٰنُهُمۡ
وَلَا
هُمۡ
يُنظَرُونَ
٢٩
Sema: Siku ya Ushindi, wale walio kufuru imani yao haitawafaa kitu, wala wao hawatapewa muhula. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Waambie, ewe Mtume, «Siku ya hukumu ambayo mtateswa na mtashuhudia kifo, makafiri hakutawafaa kuamini kwao, wala hawatacheleweshwa ili watubie na warudie.»
Waambie, ewe Mtume, «Siku ya hukumu ambayo mtateswa na mtashuhudia kifo, makafiri hakutawafaa kuamini kwao, wala hawatacheleweshwa ili watubie na waru…