As-Saaffat 37:164 وما منا الا له مقام معلوم ١٦٤
Ukurasa 452 · Juzuu 23
وَمَا
مِنَّآ
إِلَّا
لَهُۥ
مَقَامٞ
مَّعۡلُومٞ
١٦٤
Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Malaika wanasema, «Hakuna yoyote miongoni mwetu isipokuwa ana makao maalumu mbinguni.