Ar-Rahman 55:6 والنجم والشجر يسجدان ٦
Ukurasa 531 · Juzuu 27
وَٱلنَّجۡمُ
وَٱلشَّجَرُ
يَسۡجُدَانِ
٦
Na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na nyota iliyo mbinguni na miti ya ardhini, vinamjua Mola wao, vinamsujudia na vinanyosha shingo zao kufuata vile ambavyo vimepangiwa vifuate vya maslahi ya waja Wake na manufaa yao.
Na nyota iliyo mbinguni na miti ya ardhini, vinamjua Mola wao, vinamsujudia na vinanyosha shingo zao kufuata vile ambavyo vimepangiwa vifuate vya masl…