Ar-Rahman 55:31 سنفرغ لكم ايه الثقلان ٣١
Ukurasa 532 · Juzuu 27
سَنَفۡرُغُ
لَكُمۡ
أَيُّهَ
ٱلثَّقَلَانِ
٣١
Tutakuhisabuni enyi makundi mawili.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Nitawatengea kipindi cha kuwahesabu na kuwalipa kwa matendo yenu mliyoyafanya, enyi vizito viwili:-majini na binadamu-, tuwatese watu wa maasia na tuwape malipo mema watu wa utiifu.
Nitawatengea kipindi cha kuwahesabu na kuwalipa kwa matendo yenu mliyoyafanya, enyi vizito viwili:-majini na binadamu-, tuwatese watu wa maasia na tuw…