An-Nahl 16:16 وعلامات وبالنجم هم يهتدون ١٦
Ukurasa 269 · Juzuu 14
وَعَلَٰمَٰتٖۚ
وَبِٱلنَّجۡمِ
هُمۡ
يَهۡتَدُونَ
١٦
Na alama nyengine. Na kwa nyota wao wanajiongoza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwenye hiyo ardhi Ameweka alama ambazo kwa alama hizo mnajielekeza njia kipindi cha mchana, kama alivyoziweka nyota ili kujiongoza kwa nyota hizo kipindi cha usiku.
Na kwenye hiyo ardhi Ameweka alama ambazo kwa alama hizo mnajielekeza njia kipindi cha mchana, kama alivyoziweka nyota ili kujiongoza kwa nyota hizo k…