Al-Waqiah 56:73 نحن جعلناها تذكرة ومتاعا للمقوين ٧٣
Ukurasa 536 · Juzuu 27
نَحۡنُ
جَعَلۡنَٰهَا
تَذۡكِرَةٗ
وَمَتَٰعٗا
لِّلۡمُقۡوِينَ
٧٣
Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sisi tumeufanya moto wenu mnaouwasha ni ukumbusho kwenu wa Moto wa Jahanamu na pia ni manufaa kwa wasafiri.