Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qiyama 75:39

75:39
فجعل منه الزوجين الذكر والانثى ٣٩
فَجَعَلَ مِنْهُ ٱلزَّوْجَيْنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلْأُنثَىٰٓ ٣٩
فَجَعَلَﲝ
مِنۡهُﲞ
ٱلزَّوۡجَيۡنِﲟ
ٱلذَّكَرَﲠ
وَٱلۡأُنثَىٰٓﲡ
٣٩ﲢ
Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na mwanamke. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Akafanya kutokana na binadamu huyu jinsi mbili: ya kiume na ya kike. Je kwani hakuwa Mola huyo Muumba wa vitu hivyo ni Muweza wa kuwarudisha viumbe wakiwa hai baada ya kutoweka kwao.