Al-Qiyama 75:28 وظن انه الفراق ٢٨
Ukurasa 578 · Juzuu 29
وَظَنَّ
أَنَّهُ
ٱلۡفِرَاقُ
٢٨
Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yule ambaye yuko katika hali ya kufa akajua kwamba lile lililomshukia ni kuaga dunia, kwa kuwa anawaona Malaika wa mauti.