Al-Qiyama 75:21 وتذرون الاخرة ٢١
Ukurasa 578 · Juzuu 29
وَتَذَرُونَ
ٱلۡأٓخِرَةَ
٢١
Na mnaacha maisha ya Akhera. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Bali nyinyi ni watu mnaopenda dunia na pambo lake na mnaacha Akhera na starehe zake.