Al-Qamar 54:10 فدعا ربه اني مغلوب فانتصر ١٠
Ukurasa 529 · Juzuu 27
فَدَعَا
رَبَّهُۥٓ
أَنِّي
مَغۡلُوبٞ
فَٱنتَصِرۡ
١٠
Basi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Nūḥ akamuomba Mola wake kwamba «mimi ni dhaifu wa kupambana na hawa, basi nisaidie mimi kwa kuwapa mateso yanayotoka kwako kwa kukukanusha wewe.»