Al-Qalam 68:3 وان لك لاجرا غير ممنون ٣
Ukurasa 564 · Juzuu 29
وَإِنَّ
لَكَ
لَأَجۡرًا
غَيۡرَ
مَمۡنُونٖ
٣
Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hukuwa wewe, ewe Mtume, kwa sababu ya neema ya Mwenyezi Mungu kwako, ya unabii na utume, ni mchache wa akili wala mwenye uduni wa maoni. Na wewe una malipo makubwa yasiyopunguzwa wala kukatwa kwa yale matatizo unayopambana nayo ya ufikishaji ujumbe.
Hukuwa wewe, ewe Mtume, kwa sababu ya neema ya Mwenyezi Mungu kwako, ya unabii na utume, ni mchache wa akili wala mwenye uduni wa maoni. Na wewe una m…