Al-Qalam 68:12 مناع للخير معتد اثيم ١٢
Ukurasa 564 · Juzuu 29
مَّنَّاعٖ
لِّلۡخَيۡرِ
مُعۡتَدٍ
أَثِيمٍ
١٢
Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mwenye kuzuia sana ufanyaji wema, anayevuka mpaka wake katika kuwafanyia watu uadui na kutumia yaliyohartamishwa, mwingi wa madhambi,