Al-Mursalat 77:1 والمرسلات عرفا ١
Ukurasa 580 · Juzuu 29
وَٱلۡمُرۡسَلَٰتِ
عُرۡفٗا
١
Naapa kwa zinazo tumwa kwa upole! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Anaapa Mwenyezi Mungu kwa upepo unapovuma kwa mfululizo, huu baada ya huu.