Al-Inshiqaq 84:22 بل الذين كفروا يكذبون ٢٢
Ukurasa 589 · Juzuu 30
بَلِ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
يُكَذِّبُونَ
٢٢
Bali walio kufuru wanakanusha tu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika tabia ya waliokufuru ni kuikanusha na kuikataa haki.