Al-Haqqah 69:30 خذوه فغلوه ٣٠
Ukurasa 567 · Juzuu 29
خُذُوهُ
فَغُلُّوهُ
٣٠
(Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo waambiwe walinzi wa Moto wa Jahanamu, «Mchukueni mhalifu huyu mfanya dhambi, ikusanyeni mikono yake shingoni mwake muitie pingu,