Al-Haqqah 69:12 لنجعلها لكم تذكرة وتعيها اذن واعية ١٢
Ukurasa 567 · Juzuu 29
لِنَجۡعَلَهَا
لَكُمۡ
تَذۡكِرَةٗ
وَتَعِيَهَآ
أُذُنٞ
وَٰعِيَةٞ
١٢
Ili tuyafanye hayo kuwa ni waadhi kwenu na kila sikio linalo sikia liyahifadhi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
hili likiwa ni mazingatio na mawaidha, na lipate kulihifadhi tukio hilo kila shikio ambalo kazi yake ni kuhifadhi, na lielewe kile ambacho limekisikia.
hili likiwa ni mazingatio na mawaidha, na lipate kulihifadhi tukio hilo kila shikio ambalo kazi yake ni kuhifadhi, na lielewe kile ambacho limekisikia…