Al-Ghashiyah 88:9 لسعيها راضية ٩
Ukurasa 592 · Juzuu 30
لِّسَعۡيِهَا
رَاضِيَةٞ
٩
Zitakuwa radhi kwa juhudi yao! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa kuwa zilijishughulisha ulimwenguni kumtii Mwenyezi Mungu na kuridhika na Akhera.