Al-Furqan 25:14 لا تدعوا اليوم ثبورا واحدا وادعوا ثبورا كثيرا ١٤
Ukurasa 361 · Juzuu 18
لَّا
تَدۡعُواْ
ٱلۡيَوۡمَ
ثُبُورٗا
وَٰحِدٗا
وَٱدۡعُواْ
ثُبُورٗا
كَثِيرٗا
١٤
Msiombe kufa mara moja tu, bali mfe mara nyingi! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo wataambiwa kwa kukatishwa tamaa, leo msjiiombee maangamivu mara moja, lakini jiombeeni mara nyingi, kwani hilo halitawaongezea isipokuwa makero, hakuna maokozi kwenu.
Hapo wataambiwa kwa kukatishwa tamaa, leo msjiiombee maangamivu mara moja, lakini jiombeeni mara nyingi, kwani hilo halitawaongezea isipokuwa makero, …