Al-Balad 90:20 عليهم نار موصدة ٢٠
Ukurasa 595 · Juzuu 30
عَلَيۡهِمۡ
نَارٞ
مُّؤۡصَدَةُۢ
٢٠
Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Malipo yao ni Moto wa Jahanamu wenye kuwafinika na kuwaziba.