Al-A’laa 87:1 سبح اسم ربك الاعلى ١
Ukurasa 591 · Juzuu 30
سَبِّحِ
ٱسۡمَ
رَبِّكَ
ٱلۡأَعۡلَى
١
Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Takasa Jina la Mola wako Aliyetukuka na kuepukana na mshirika na kila sifa pungufu kwa namna inayonasibiana na utukufu Wake na utakatifu Wake.