Al-Ahqaf 46:14 اولايك اصحاب الجنة خالدين فيها جزاء بما كانوا يعملون ١٤
Ukurasa 503 · Juzuu 26
أُوْلَٰٓئِكَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَنَّةِ
خَٰلِدِينَ
فِيهَا
جَزَآءَۢ
بِمَا
كَانُواْ
يَعۡمَلُونَ
١٤
Hao ndio watu wa Peponi, watadumu humo, kuwa ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao ni wa watu wa Peponi, watakaa humo milele kwa rehema za Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, juu yao , na kwa yale waliyoyatanguliza ya matendo mema katika dunia yao.
Hao ni wa watu wa Peponi, watakaa humo milele kwa rehema za Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, juu yao , na kwa yale waliyoyatanguliza ya matendo mema katik…