Al-Aaraf 7:48 ونادى اصحاب الاعراف رجالا يعرفونهم بسيماهم قالوا ما اغنى عنكم جمعكم وما كنتم تستكبرون ٤٨
Ukurasa 156 · Juzuu 8
وَنَادَىٰٓ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡأَعۡرَافِ
رِجَالٗا
يَعۡرِفُونَهُم
بِسِيمَىٰهُمۡ
قَالُواْ
مَآ
أَغۡنَىٰ
عَنكُمۡ
جَمۡعُكُمۡ
وَمَا
كُنتُمۡ
تَسۡتَكۡبِرُونَ
٤٨
Na hao watu wa Mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. Watasema: Kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na watu walioko Al-A’rāf watawaita wanaume, miongoni mwa viongozi wa makafiri waliomo motoni, wanaowajua kwa alama zao fulani zinazowatenganisha wawaambie, «Hayakuwafaa chochote mali mliokuwa mkiyakusanya ulimwenguni wala watu; pia hakikuwafaa kiburi chenu kilichowafanya nyinyi msimuamini Mwenyezi M…
Na watu walioko Al-A’rāf watawaita wanaume, miongoni mwa viongozi wa makafiri waliomo motoni, wanaowajua kwa alama zao fulani zinazowatenganisha wawaa…