Al-Aadiyat 100:5 فوسطن به جمعا ٥
Ukurasa 599 · Juzuu 30
فَوَسَطۡنَ
بِهِۦ
جَمۡعًا
٥
Na wakijitoma kati ya kundi, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakautia kati, kwa kuuzunguka kwa vipando vyao, mkusanyiko wa maadui.