Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yunus 10:1

10:1
الر تلك ايات الكتاب الحكيم ١
الٓر ۚ تِلْكَ ءَايَـٰتُ ٱلْكِتَـٰبِ ٱلْحَكِيمِ ١
الٓرۚﱁﱂ
تِلۡكَﱃ
ءَايَٰتُﱄ
ٱلۡكِتَٰبِﱅ
ٱلۡحَكِيمِﱆ
١ﱇ
Alif Lam Ra. Hizo ni Aya za Kitabu chenye Hikima. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
(Alif, Lām, Rā’.) Yametangulia maelezo juu ya herufi zilizotajwa kimkato mwanzo wa sura ya Al- Baqarah. Hizi ni aya za Kitabu kilichopangwa vizuri ambacho Mwenyezi Mungu Amekipanga na kukifafanua kwa waja Wake.