Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:87

37:87
فما ظنكم برب العالمين ٨٧
فَمَا ظَنُّكُم بِرَبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ ٨٧
فَمَاﱸ
ظَنُّكُمﱹ
بِرَبِّﱺ
ٱلۡعَٰلَمِينَﱻ
٨٧ﱼ
Mnamdhania nini Mola Mlezi wa walimwengu wote? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mnamdhani Mola wa viumbe vyote Atawafanya nini mkimshirikisha Yeye na mkamuabudu asiyekuwa Yeye?