Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:86

23:86
قل من رب السماوات السبع ورب العرش العظيم ٨٦
قُلْ مَن رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ ٱلسَّبْعِ وَرَبُّ ٱلْعَرْشِ ٱلْعَظِيمِ ٨٦
قُلۡﲱ
مَنﲲ
رَّبُّﲳ
ٱلسَّمَٰوَٰتِﲴ
ٱلسَّبۡعِﲵ
وَرَبُّﲶ
ٱلۡعَرۡشِﲷ
ٱلۡعَظِيمِﲸ
٨٦ﲹ
Sema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Sema, «Ni nani Mola wa mbingu saba na Mola wa ‘Arsh iliyo kubwa, ambayo ndiyo kiumbe kikubwa kabisa na kilichoko juu kabisa?»