Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Jinn 72:2

72:2
يهدي الى الرشد فامنا به ولن نشرك بربنا احدا ٢
يَهْدِىٓ إِلَى ٱلرُّشْدِ فَـَٔامَنَّا بِهِۦ ۖ وَلَن نُّشْرِكَ بِرَبِّنَآ أَحَدًۭا ٢
يَهۡدِيٓﱏ
إِلَىﱐ
ٱلرُّشۡدِﱑ
فَـَٔامَنَّاﱒ
بِهِۦۖﱓﱔ
وَلَنﱕ
نُّشۡرِكَﱖ
بِرَبِّنَآﱗ
أَحَدٗاﱘ
٢ﱙ
Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
inalingania watu kwenye ukweli na uongofu, na sisi tukaiamini na kuifuata kivitendo, na hatutomshirikisha Mola wetu Aliyetuumba na yoyote katika kumuabudu.