Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Haqqah 69:5

69:5
فاما ثمود فاهلكوا بالطاغية ٥
فَأَمَّا ثَمُودُ فَأُهْلِكُوا۟ بِٱلطَّاغِيَةِ ٥
فَأَمَّاﲮ
ثَمُودُﲯ
فَأُهۡلِكُواْﲰ
بِٱلطَّاغِيَةِﲱ
٥ﲲ
Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ama hao Thamūd waliangamizwa kwa ukelele mkubwa uliopita kiasi ukali wake,