Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-An-Am 6:45

6:45
فقطع دابر القوم الذين ظلموا والحمد لله رب العالمين ٤٥
فَقُطِعَ دَابِرُ ٱلْقَوْمِ ٱلَّذِينَ ظَلَمُوا۟ ۚ وَٱلْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ ٤٥
فَقُطِعَﱁ
دَابِرُﱂ
ٱلۡقَوۡمِﱃ
ٱلَّذِينَﱄ
ظَلَمُواْۚﱅﱆ
وَٱلۡحَمۡدُﱇ
لِلَّهِﱈ
رَبِّﱉ
ٱلۡعَٰلَمِينَﱊ
٤٥ﱋ
Ikakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Watu hawa walimalizwa na kuangamizwa walipomkanusha Mwenyezi Mungu na kumkanusha Mtume Wake; hakuna yoyote aliyesalia kati yao. Shukrani na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Muumba na Mwenye kumiliki kila kitu, kwa kuwapa ushindi mawalii Wake na kuwaangamiza maadui Zake.