Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Adh-Dhaariyat 51:56

51:56
وما خلقت الجن والانس الا ليعبدون ٥٦
وَمَا خَلَقْتُ ٱلْجِنَّ وَٱلْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ٥٦
وَمَاﱣ
خَلَقۡتُﱤ
ٱلۡجِنَّﱥ
وَٱلۡإِنسَﱦ
إِلَّاﱧ
لِيَعۡبُدُونِﱨ
٥٦ﱩ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na sikuumba majini na binadamu na kutumiliza Mitume wote isipokuwa kwa lengo tukufu, nalo niabudiwe mimi Peke Yangu, na sio asiyekuwa mimi.